Nyumba ya kupanga Arusha , Morombo / Mjomba road 450K

Nyumba ya kupanga Arusha , Morombo / Mjomba road 450K

Price:

Read more

Ni nyumba ya Rooms tatu za kulala 
Sebule 
Dinning 
Jiko 
Choo cha jumuiya 
Maji ya bomba yapo 
Umeme upo wa kujitegemea 
Parking ipo ya kutosha 
Bei ya kodi kwa mwezi ni 450000
Utalipia kwa miezi mi 6 na kuendelea
Ukipenda commission ya dalal mwezi mmoja 
Kuona 10K charge