NYUMBA YA KUPANGA , ARUSHA KWA MOROMBO , MACHWA SCHOOL 300K

NYUMBA YA KUPANGA , ARUSHA KWA MOROMBO , MACHWA SCHOOL 300K

Price:

Read more














 Ni nyumba kupanga yenye sifa zifuatazo . 

Bedroom mbili , moja ni master 

Sebule jiko , store , hearter maji moto ipo , na choo cha public . 

Nyumba ni nzuri na haijawahi kuishi mtu 

Ninapatikana Arusha kwa morombo maeneo mizani ama , shule ya machwa 

Maji ya bomba yapo 

Pia umeme upo na luku yako 

Parking ni kubwa na nafasi ya kutosha . 

Bei ya kodi kwa mwezi ni shilingi za kitanzania 300000 

Utalipia kwa awamu ya miezi mi 4

Mwezi mmoja kwa dalali ukipenda nyumba , 

Kwenda kuiona charge ni 10

Call 0719499889