Read more
Ni nyumba classic sana inapangishwa Arusha , maeneo ya majengo
Ni room mbili za kulala moja ni master
Sebule , jiko na choo ndani
Choo cha Public kipo
Hearter maji moto
Nyumba ipo karibu na bara bara
Wapangaji ni wa 5
Umeme kujitegemea
Maji kujitegemea
Nyuma ipo ndani ya fance
Kodi yake kwa mwezi ni 350000
Kulipwa kwa miezi mi 3
Ukipenda udalali mwezi mmoja
Kuona charge ni 10K
Call 0719499889